HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

June 22, 2016

WAZIRIMABARAWA AFUNGUA MKUTANO WA 19 WA SADC WA KAMATI ZA USAFIRI WA ANGA

Waziri wa  Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa akizungumza na waandishi wa habari wakati  wa uzinduzi wa mkutano 19 wa SADC wa Kamati za  Usafiri wa Anga  uliofanyika jijini Dar es Salaam leo. (Picha na Francis Dande)
Picha ya pamoja.
Waziri wa  Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa akitoa hotuba yake wakati  wa uzinduzi wa mkutano 19 wa SADC wa kamati za  usafiri wa Anga  uliofanyika jijini Dar es Salaam. Wa pili kushoto ni mwakilishi wa SADC  ICAO, Raphael Bokango, Mwenyekiti wa  SADC kamati ya Usafiri wa Anga, Geoffrey Moshabesha na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Hamza Johari (Kulia).

No comments:

Post a Comment

Pages