HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 26, 2016

KAMPUNI YA SSC YAZINDUA HUDUMA YA MIKOPO NAFUU

Mkurungenzi wa Kampuni mama ya Sustainable Solutions Consultancy (SSC), Salum Awadhi (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juzi wakati wa uzinduzi wa kampuni ya huduma ya kifedha ya Islamic Finance inayoitwa Murabaha inayotoa mikopo bila riba kwa wajasiriamali wadogo wadogo.

No comments:

Post a Comment

Pages