HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 29, 2016

WASHINDI WA PROMOSHENI YA JIJENGE NA TWIGA CEMENT WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO

Meneja Usambazaji wa Twiga Cement, Tumain Joseph (kulia), akimkadhi cheti mshindi wa promosheni ya ‘Jijenge na Twiga Cement’, Robert Kassim aliyejishindia mifuko 600 ya sementi katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Katikati ni Mkurugenzi wa Masoko, Simon Delens.  (Picha na Francis Dande) 
 Charles Chale mkazi wa Gongo la mboto (kulia), akipongezwa na Meneja Ukuzaji Biashara wa Twiga Cement, jamal Yahya.baada ya kuibuka mshindi wa pili wa promosheni ya Jenga na Twiga Cementi' iliyofanyika jijini Dar es Salaam, leo.
 Mkurugenzi wa Masoko, Simon Delens akimpongeza Charles Chale baada ya kuibuka mshindi wa pili wa promosheni hiyo na kujishindia mifuko 400 ya sementi.
  Mkurugenzi wa Masoko, Simon Delens akimpongeza mshindi wa kwanza wa promosheni hiyo, Robert Kassim na kujishindia mifuko 600 ya sementi.
  Mkurugenzi wa Masoko, Simon Delens akizungumza katika hafla ya kukabidhi zawadi kwa washindi.
Viongozi wa Twiga Cementi wakiwa katika picha ya pamoja na washindi.

No comments:

Post a Comment

Pages