Dande Contact

TEMBELEA BLOG HII KWA MATUKIO YA KILA SIKU-MOBILE +255 713 623 958 / +255 784 623 958 EMAIL dande15us@gmail.com

Halotel


CRDB

CRDB
.

Pages

WATEJA WAIPONGEZA BENKI YA CRDB KATIKA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA

Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa akizungumza katika hafla ya Wiki ya Huduma kwa Wateja iliyofanyika katika tawi la Benki ya CRDB Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Naibu Mkurugenzi Mtendaji Uendeshaji na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Saugata Bandyopadhyay akimkabidhi zawadi mteja wa benki hiyo, Haika Lawere (kushoto), ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja iliyofanyika katika tawi la Oysterbay jijini Dar es Salaam. 
 Naibu Mkurugenzi Mtendaji Uendeshaji na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Saugata Bandyopadhyay akimkabidhi zawadi mteja wa benki hiyo, Graham Magoli.
Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Kasulu, Paul Chacha akikabidhi vifaa tiba kwa Mganga Mkuu wa Hospitali ya Kasulu.
Maofisa wa Benki ya CRDB tawi la Bunge mjini Dodoma wakiwa katika picha ya pamoja.
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB Arusha wakiwa katika picha ya pamoja.
 Mkurugenzi wa Mikopo wa Benki ya CRDB, Anderson Mlabwa (kati) akikabidhi msaada kwa Dk.Sanga wa Kituo cha Afya cha Luanda mkoani Mbeya ambapo benki hiyo ilitoa msaada wa nguo kwa watoto wachanga pamoja na vinywaji baridi kwa wagonjwa.
Mfanyakazi wa Benki ya CRDB akiwa ameemshika mtoto mchanga walipotembelea ituo cha Afya Luanda mkoani Mbeya.
 Wafanyakazi wa Benki ya CRDB tawi la Mbarali wakisherehekea Wiki ya Huduma kwa Wateja.
Wafanyakazi wa Bernki ya CRDB tawi la Mbarali Mkoa wa Mbeya wakiwa katika picha ya pamoja.
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Stephen Kebwe akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi wa Bwenki ya CRDB Morogoro. 
Wateja wakipa chai katika tawi la Benki ya CRDB tawi la Nyerere jijini Mwanza.
 Keki.
Wateja wakipata kinywaji katika tawi la Nerere Mwanza.
Mganga Mkuu wa Hospitali ya Sekoutoure Mwanza, akijaza fomu ya Benki ya CRDB kutoa maoni kuhusu huduma za benki hiyo.
 Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru (kulia), akipokea barua ya shukrani kutoka Meneja wa wa Huduma za Mawakala Benki ya CRDB, Jessica Nyachiro.
Maofisa wa Benki ya CRDB wakifurahia jambo.

Wafanyakazi wa Benki ya CRDB tawi la Marangu wakiwa katika picha ya pamoja.
 Wafanyakazi wa Benki ya CRDB wakiwa katika picha ya pamoja na watoto wenye ulemavu, Urambo mkoani Tabora. 
Maofisa wa Benki ya CRDB wakitoa misaada katika kwa watoto wenye ulemavu, Urambo mkoani Tabora. 
 Wateja wakipata vinywaji katika tawi la Urambo, Tabora.
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB tawi la Musoma.
Meneja wa CRDB, Babati, Ronald Paul akitoa msaada wa mashuka 100 kwa Haydom Lutheran Hospital.
  Mkurugenzi wa Hazina wa Benki ya CRDB, Alex Ngusaru (wa pili kushoto), pamoja na maofisa wa benki hiyo  Zanzibar walipotembelea Posta Zanzibar kuwashukuru. Kushoto ni Meneja wa Posta Zanzibar.
Mkurugenzi wa Hazina wa Benki ya CRDB, Alex Ngusaru akifurahia jambo na mteja wa CRDB SME, Mohamed mjini Zanzibar.
 Wafanyakazi wa Benki ya CRDB tawi la Mbeya wakiwa tayari kuadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja.
Kuwafariji wagonjwa.
Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Kahama, Luther Mnene (kushoto) ajitoa zawadi ya asante kwa mteja. 
Nebeja wa Benki ya CRDB tawi la Marangu, InnocentArbogast akikabidhi vifaa vya michezo zikiwemo fulana na mipira kwa Mkuu wa Chuo cha Ualimu Marangu.
Mkuu wa Wilaya ya, Gairo Siriel Shaidi Mchembe akimtwisha ndoo ya maji mwananchi wa mjini Gairo, baada ya kuzindua kisima kilichochimbwa na benki ya CRDB. Kushoto ni wa tawi la Gairo, David Peter na kulia ni Mkurugenzi wa Benki ya CRDB Dodoma, Rehema Hamisi.

No comments:

Post a Comment