HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

December 31, 2016

MAHAFALI YA 18 SAUT

Wahitimu wa Shahada ya Uzamili ya Habari na Mahusiano ya Umma kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine (SAUT) wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya mahafali ya 18 hivi karibuni, kuanzia kulian ni Martin Kayera, Bahati Mollel na Nicodemas Inkoko.
Wakiwa kwenye picha ya pamoja wahitimu wa Shahada ya Uzamili ya Habari na Mahusiano ya Umma iliyotolewa hivi karibuni katika mahafali ya 18 ya Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine (SAUT), kuanzia kushoto ni Concilia Niyibitanga, Bahati Mollel, Jackline Issack na Latifa Abdallah.
 Afisa Uhusiano wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Bahati Mollel (kulia) akiwa na wahitimu wenzake Benedict Luvanda, Theresia Mendoza, Debora Ngalijo na Mariam Lusewa wa Shahada ya Uzamili ya Habari na Mahusiano ya Umma ya SAUT hivi karibuni.
 Baadhi ya wahitimu wa Shahada ya Uzamili ya Habari na Mahusiano ya Umma iliyotolewa hivi karibuni kwenye viwanja vya Raila Odinga mkoani Mwanza.
 Bahati Mollel (kushoto) akiwa na Concilia Niyibitanga mara baada ya kutunukiwa Shahada ya Uzamili ya Habari na Mahusiano ya Umma ya Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine (SAUT).
Bahati Mollel akifurahi mara baada ya kutunukiwa shahada ya Uzamili ya Habari na Mahusiano ya Umma ya Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine (SAUT) hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment

Pages