HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

December 30, 2016

MSAJILI WA HAZINA AKUTANA NA TAASISI ZA SERIKALI NA KUSAINI MAKUBALIANO YA UTEKELEZAJI WA MKAKATI WA MWAKA

sajili wa Hazina Dk.Oswald Mashindano akikabidhiana na Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya AICC Balozi Dk.Ladislaus Komba mkataba wa makubaliano ya utekelezaji wa mkakati wa mwaka kati ya Taasisi za Serikali na Serikali kupitia msajili wa Hazina. Picha na Daudi Manongi-MAELEZO.
 Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es saalaam Prof. Paramagamba Kabudi akitia saini mkataba wa makubaliano ya utekelezaji wa mkakati wa mwaka kati ya Taasisi za Serikali na Serikali kupitia msajili wa hazina leo Jijini Dar es Salaam.Kushoto kwake ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es SalaamProfesa Rwekaza Mukandara.
Msajili wa Hazina Dk.Oswald Mashindano akikabidhiana na Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya AICC Balozi Dk.Ladislaus Komba mkataba wa makubaliano ya utekelezaji wa mkakati wa mwaka kati ya Taasisi za Serikali na Serikali kupitia msajili wa Hazina.
 Msajili wa Hazina Dk.Oswald Mashindano akikabidhiana na Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya AICC Balozi Dk.Ladislaus Komba mkataba wa makubaliano ya utekelezaji wa mkakati wa mwaka kati ya Taasisi za Serikali na Serikali kupitia msajili wa Hazina.
 Msajili wa Hazina Dk.Oswald Mashindano akikabidhiana na mwakilishi kutoka Mfuko wa Umoja wa Dhamana ya Uwekezaji Tanzania mkataba wa makubaliano ya utekelezaji wa mkakati wa mwaka kati ya Taasisi za Serikali na Serikali kupitia msajili wa hazina..Nyuma ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Umoja wa Dhamana ya Uwekezaji Tanzania Bw.James Washima.
 Wajumbe mbalimbali kutoka Bodi ya Wakurugenzi ya AICC na Mfuko wa Umoja wa Dhamana ya Uwekezaji Tanzania wakimskiliza Msajili wa Hazina Dk.Oswald Mashindano (hayupo pichani) wakati wa makubaliano ya utekelezaji wa mkakati wa mwaka kati ya Taasisi za Serikali na Serikali kupitia msajili wa hazina.

No comments:

Post a Comment

Pages