Dande Contact

TEMBELEA BLOG HII KWA MATUKIO YA KILA SIKU-MOBILE +255 713 623 958 / +255 784 623 958 EMAIL dande15us@gmail.com

Halotel


CRDB

CRDB
.

Pages

NSSF YAANDIKISHA WANACHAMA 108 WAENDESHA BODABODA-MUSOMA

Naibu Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira, Antony Mavunde(katikati), akikabidhi pikipiki zilizotolewa na mbunge wa viti maalum mkoa wa mara, Agnes Marwa kwa waendesha Bodaboda wa mjini Musoma na kudhaminiwa na NSSF, wakati wa Semina juu ya kujiunga na mfuko huo. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NSSF, James Oigo. jumla ya pikipiki 5 zilitolewa kwa waendesha bodaboda hao.
Naibu Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira, Antony Mavunde (katikati), akikabidhi pikipiki zilizotolewa na mbunge wa viti maalum mkoa wa mara, Agnes Marwa kwa waendesha Bodaboda wa mjini Musoma na kudhaminiwa na NSSF, wakati wa Semina juu ya kujiunga na mfuko huo. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NSSF, James Oigo. jumla ya pikipiki 5 zilitolewa kwa waendesha bodaboda hao.
Naibu Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira, Antony Mavunde(katikati), akikabidhi pikipiki zilizotolewa na mbunge wa viti maalum Mkoa wa Mara, Agnes Marwa.
  Naibu Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira, Antony Mavunde akimkabidhi kadi ya uanachama wa NSSF kwa mmoja wa waendesha bodaboda wa mjini Musoma.

 Naibu Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira, Antony Mavunde akimkabidhi kadi ya uanachama wa NSSF kwa mmoja wa waendesha bodaboda wa mjini Musoma, Emmanuel Lucas wakati wa Semina juu ya kujiunga na mfuko huo, iliyoandaliwa na mbunge wa viti maalum mkoa wa Mara, Agnes Marwa na kudhaminiwa na  NSSF, jumla ya pikipiki 5 zilitolewa kwa waendesha bodaboda hao. 

No comments:

Post a Comment