HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

December 29, 2016

SIMBA SC YAJIKITA KILELENI, YAIFUNGA RUVU SHOOTING 1-0

Mohamed Ibrahim akijiandaa kufunga katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara dhidi ya Ruvu Shooting. (Picha na Said Powa) 
 Mohamed Ibrahim akiifungia timu yake bao pekee katika mchezo huo.
 Mchezaji wa Simba, Mohamed Ibrahim akishangilia bao pekee aliloifungia timu yake.
 Wachezaji wa Simba wakishangilia bao lililofungwa na Mohamed Ibrahim.
Wachezaji wa Simba wakishangilia bao lililofungwa na Mohamed Ibrahim.

No comments:

Post a Comment

Pages