HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

December 28, 2016

YANGA YAJIPIGIA 4-0 KWA NDANDA FC

 Golikipa wa Ndanda FC, Jeremiah Kisubi akiokoa moja ya hatari langoni mwake wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara dhidi ya Yanga. Yanga imeshinda 4-0. (Picha na Francis Dande).
Wachezaji wa Yanga wakipongezana baada ya Amis Tambwe kuipatia timu yake bao.
Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma akimtoka beki wa Ndanda FC, Nassoro Kapama katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam. Yanga ilishinda 4-0.
 Wachezaji Juma Abdul, Vicent Bosoou na Simon Msuva wakishangilia bao la 4 la timu hiyo lililofunga na Bossou.
Beki wa Yanga, Vicent Bossou akipiga kichwa mpira uliozaa bao la 4 la timu hiyo wakati ilipopambana na Ndanda FC kwenye Uwanja wa Uhuru.
 Amis Tambwe akijiandaa kufunga huku golikipa wa Ndanda FC, Jeremiah Kisubi akiwa tayari kuokoa mpira huo.
 Kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima akichuana na beki wa Yanga. 
 Mshambuliaji wa Yanga, Emmanuel Martin akitoka nje bada ya kuumia katika mchezo huo. 
Beki wa Yanga, Vicent Bossou akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la 4. 
 Bossou.
Bossou akikumbatiana kwa furaha na Juma Abdul baada ya kuipatia Yanga bao la 4.

No comments:

Post a Comment

Pages