Dande Contact

TEMBELEA BLOG HII KWA MATUKIO YA KILA SIKU-MOBILE +255 713 623 958 / +255 784 623 958 EMAIL dande15us@gmail.com

Halotel


CRDB

CRDB
.

Pages

CHADEMA KUKATA RUFAA HUKUMU YA MBUNGE WA KILOMERO

 Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, kuhusu nia ya chama hicho kukata rufaa dhidi ya hukumu ya kifungo cha miezi 6 jela iliyotolewa na mahakama ya wilaya ya Kilosa kwa mbunge wa jimbo la Kilosa, Peter Jualikali. (Picha na Francis Dande).

 Lissu akifafanua jambo.
Tunakata rufaa.
Waandishi wakiwa kazini.

No comments:

Post a Comment