Dande Contanct

TEMBELEA BLOG HII KWA MATUKIO YA KILA SIKU.

CRDB

CRDB
.

Pages

JAMBO LEO WALIVYOUPOKEA MWAKA MPYA 2017

 Wafanyakazi wa Gazeti la Jambo Leo linalochapishwa na Kampuni ya Quality Media Group Limited wakiwa na furaha wakati wa hafla ya kuukaribisha Mwaka Mpya 2017 kwenye Ukumbi wa Ground Zero, Kurasini Dar es Salaam juzi.
 Wakigongeana ikiwa ni ishara ya kutakiana heri ya Mwaka Mpya wa 2017
 Wakicheza kwa furaha muziki uliokuwa ukiporomoshwa wakati wa hafla hiyo
 Mwenyekiti wa Kamati ya hafla hiyo ambaye ni Mpiga Picha Mkuu wa gazeti hilo, Richard Mwaikenda akimtambulisha Mkurugenzi wa Gound Zero Lounge, Juma Pinto kwa madereva wa Kampuni Mama ya Quality Group Limited (QGL), Salumu (kushoto) na Ramadhan
 Mhariri Mtendaji wa gazeti la Jambo Leo, Anicetus Mwesa akisalimiana na Juma Pinto. Kushoto ni Mhariri Mwandamizi wa gazeti hilo, Leon Bahati.
 Wajumbe wa Kamati ya Sherehe hiyo wakijadiliana kuweka mambo sawa. Kutoka kushoto ni Zahoro Mlanzi, Grace Sima, Asha Kigundula na Neema Mgonja.
 Katibu wa Kamati ya Sehetrehe, Neema Mgonja (aliyesimama) akiwapa utaratibu wa maakuli wajumbe. Kutoka kushoto ni Mwnyekiti wa Kamati hiyo, Richard Mwaikenda, Grace Sima, Jemmah Makamba na Dalila Sharif
 Mhariri wa Habari wa Jambo Leo, Kachenje 9kulia0 akitaniana na Mhariri Mwandamizi, Frank Balile na Mhariri Mwandamizi wa Jambo Leo Wikiend, Said Mwishehe.
 Ni furaha kwa wote
 Sasa ni wakati wa msosi.
 Ni msosi, vinywaji kwa kwenda mbele.
 Mwaikenda akiwa na Jemmah Makamba (katikati) pamoja na Dalila Sharif
 Baadhi ya waandishi wa kike wa Jambo Leo wakiwa na sura zenye bashaha wakati wa hesrehe hiyo.
 Mhariri Mtendaji wa Jambo Leo, Mwess (katikati) akifurahi na baadhi ya waandishi wa habari wa gazeti hilo
 Mmoja wa Wakurugenzi wa Ground Zero Lounge, Benny Kisaka akisalimiana na Mhariri wa Jambo Leo, Kachenje. Kushoto ni Mhariri Mwandamizi wa gazeti hilo, Mashaka Mgeta na Kulangwa.
 Maakuli, maakuli, maakuli
 Mwesa na Bahati wakiwa na furaha
 Mwaikenda akiserebuka na Jemmah.
Wasanifu kurasa wa gazeti hilo wakipata supu ya mbuzi. Kutoka kulia ni Grace Sima, Robert na Khamisi Kumbuka.

No comments:

Post a Comment