HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

January 05, 2017

KINANA NA UJUMBE WAKE MZITO WAENDA ZANZIBAR LEO

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwa na viongozi waandamizi wa CCM katika boti ya  wakati wakiwa safarin kwenda Zanzibar kwenye uznduzi wa kampeni za uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la  Dmani, mkoa wa mjini Magharibi, leo. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo, Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Humphrey Polepole na kulia ni Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstafu Lubinza na Katibu wa NEC Oganaizesheni Muhammed Seif khatib. 
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwa na viongozi waandamizi wa CCM katika boti ya  wakati wakiwa safarin kwenda Zanzibar kwenye uznduzi wa kampeni za uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la  Dmani, mkoa wa mjini Magharibi, leo. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo, Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Humphrey Polepole na kulia ni Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstafu Lubinza na Katibu wa NEC Oganaizesheni Muhammed Seif khatib
Msaidizi wa Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Msami akiwa na Msimamizi Mkuu wa Blog ya taifa ya CCM, Ndugu Nkoromo, katika boti wakati wakienda Zanzibar na Viongozi hao

No comments:

Post a Comment

Pages