Dande Contact

TEMBELEA BLOG HII KWA MATUKIO YA KILA SIKU-MOBILE +255 713 623 958 / +255 784 623 958 EMAIL dande15us@gmail.com

Halotel


CRDB

CRDB
.

Pages

LEMA AENDELEA KUSOTEA DHAMANA YAKE ARUDI GEREZANI

Mbunge wa Arusha mjini, Godbless Lema, (Chadema), akitoka mahakamani leo huku akipunga mkono baada ya Mahakamani Kuu Kanda ya Arusha kushindwa kuendelea kusikiliza na kutolea uamuzi rufaa ya upande wa Serikali wanaopinga mbunge huyo kupatiwa dhamana kutokana na mawakili wa Serikali kuwasilisha kusudio la kukata rufaa Mahakama ya Rufaa nchini. (Picha na Grace Macha).
Lema akielekea kupanda gari la Magereza kwa safari ya kurudi katika gereza la Kisongo mkoani Arusha. 

No comments:

Post a Comment