Dande Contact

TEMBELEA BLOG HII KWA MATUKIO YA KILA SIKU-MOBILE +255 713 623 958 / +255 784 623 958 EMAIL dande15us@gmail.com

Halotel


CRDB

CRDB
.

Pages

LY 1988 MBUYUNI WAFANYA 'PARTY' YA KUAGA MWAKA 2016 NA KUUKARIBISHA 2017

 Wanafunzi waliomaliza mwaka 1988 katika Shule ya Msingi Mbuyuni iliyopo jirani na Kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay wakiwa wamepozi kwa picha wakati wa hafla ya kuuaga mwaka 2016 na kuukaribisha mwaka 2017 iliyofanyika Nguruko Annex Mbezi jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Damas Mlolere na Mzee Mwalimu.
 Hakika ilikuwa ni siku ya furaha.
 Joseph Mwanukuzi akiwa amepozi na Gee Mwaisaka wakati wa hafla hiyo. 
  Gee, Jose na Carloyn wakiwa wamepozi. 
Damas (katikati) akiwa na Gee na Carloyn. 
 Gee na Carloyn wakiwa wamepozi.
  Mzee, Rich, Damas na Alex wakiwa katika hafla hiyo.
 Kutoka kushoto, Rich, Damasi na Alex.
Waliosimama kutoka kushoto, Jose, Mzee na Damasi. Waliokaa ni Gee (kushotio), na Carloyn.
Gee, Mzee na Carloyn.
Nyuma waliosimama, Dande na Damas, waliokaa kushoto ni Gee na Carloyn. 
  Wanafamilia wakiwa katika pozi tofauti.
 Francis Dande na Mzee wakiwa wamepozi.
Alex Chalamila (kulia), na Alex Luswaga.
Dande, Mzaa, Rich na Alex.
 Richa, Alex na Jose.
 Mzee akiagana na Damas.
 Mzee na Damas.

No comments:

Post a Comment