Dande Contact

TEMBELEA BLOG HII KWA MATUKIO YA KILA SIKU-MOBILE +255 713 623 958 / +255 784 623 958 EMAIL dande15us@gmail.com

h

h

CRDB

CRDB
.

Pages

MBUNGE WA JIMBO LA TANGA AMKABIDHI MSAADA BAISKELI MKAZI WA TONGONI.

Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF), Mussa Mbaruku akimuelekeza namna ya kuitumia Baiskeli ya kutembelea mkazi wa Mtaa wa Tongoni Jijini Tanga, Mwinchumu Ally jana mara baada ya kumkabidhi ikiwa ni ahadi aliyemuahidi wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu mwaka juzi.Mbunge wa Jimbo la Tanga(CUF) Mussa Mbaruku kulia akimkabidhi baiskeli mkazi wa Mtaa wa Tongoni Jijini Tanga,Mwinchumu Ally jana ambaye anamatatizo ya ulemavu wa miguu kwa ajili ya kutembelea ikiwa ni kutimiza ahada aliyomuahaidi wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu mwaka. juzi.

No comments:

Post a Comment