HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

January 10, 2017

RAIS DK. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA PROF. IBRAHIM GAMBARI MJUMBE MAALUM WA RAIS WA NIGERIA, CHATO MKOANI GEITA

 Rais Dk. John Magufuli akiwa katika mazungumzo na Profesa Ibrahim Gambari ambaye ni Mjumbe maalum wa Rais wa Nigeria Chato mkoani Geita.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akipokea barua yenye ujumbe maalum kutoka kwa Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari uliowasilishwa na Profesa Ibrahim Gambari ambaye ni Mjumbe maalum wa Rais huyo wa Nigeria, Chato mkoani Geita.
Rais John Magufuli akiagana na mgeni wake, Profesa Ibrahim Gambari ambaye ni Mjumbe maalum wa Rais wa Nigeria, Muhammadu Buhari baada ya kumaliza mazungumzo yao, Chato mkoani Geita. (Picha na Ikulu).

No comments:

Post a Comment

Pages