Dande Contact

TEMBELEA BLOG HII KWA MATUKIO YA KILA SIKU-MOBILE +255 713 623 958 / +255 784 623 958 EMAIL dande15us@gmail.com

Halotel


CRDB

CRDB
.

Pages

NAPE AFANYA MSAKO WA KUWAKAMATA WANAODURUFU KAZI ZA WASANII


 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye (kushoto), akizungumza na mmiliki wa Hoteli ya Butterfly iliyopo Kariakoo, jijini Dar es Salaam, Phili Mdolo ambaye anatuhumiwa kudurufu na kuingiza kazi za sanaa kinyume na sheria kabla ya mmiliki huyo kukamatwa na vyombo vya dola. (Picha na Benjamin Sawe).
 Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye akiongea na wanahabari baada ya kukagua na kumkamata Bw. Phili Ulaya Mdolo ambaye atatuhumiwa kudurufu kazi za muziki na filamu kinyume na Sheria.
 Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi (TRA) Bwana Richard Kayombo akiongea na wanahabari baada ya kukagua na kumkamata Bw. Phili Ulaya Mdolo ambaye atatuhumiwa kudurufu kazi za muziki na filamu kinyume na Sheria. 
 Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye (kulia) akiwa katika moja ya mitaa ya Karikoo ikiwa ni ziara ya kukagua wafanyabiashara wanaodurufu kazi za wasanii wa muziki na Filamu kinyume na sheria.

No comments:

Post a Comment