HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

February 25, 2017

RAIS MUSEVENI AWASILI DAR ES SALAAM KWA ZIARA RASMI YA KISERIKALI YA SIKU MBILI

Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni akipokea shada la maua mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kuanza ziara rasmi ya kiserikali ya siku mbili leo Februari 25, 2017
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimlaki Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni alipowasili  katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kuanza ziara rasmi ya kiserikali ya siku mbili leo Februari 25, 2017
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimtabulisha kwa wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama  Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni alipowasili  katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kuanza ziara rasmi ya kiserikali ya siku mbili leo Februari 25, 2017
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni wakisimama kwa nyimbo za Taifa mgeni alipowasili  katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kuanza ziara rasmi ya kiserikali ya siku mbili leo Februari 25, 2017
 Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni akikagua gwaride alipowasili  katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kuanza ziara rasmi ya kiserikali ya siku mbili leo Februari 25, 2017
 Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni akisalimiana na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan alipowasili  katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kuanza ziara rasmi ya kiserikali ya siku mbili leo Februari 25, 2017
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitambulishwa kwa ujumbe wa Uganda na  Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni alipowasili  katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kuanza ziara rasmi ya kiserikali ya siku mbili leo Februari 25, 2017
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni wakiandgalia ngoma za utamaduni mgeni alipowasili  katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kuanza ziara rasmi ya kiserikali ya siku mbili leo Februari 25, 2017
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na  mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia wakati mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni akipiga ngoma alipowasili Ikulu jijini Dar es salaam kuanza ziara rasmi ya kiserikali ya siku mbili leo Februari 25, 2017
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni  wakiwasili Ikulu jijini Dar es salaam tayari kuanza ziara rasmi ya kiserikali ya siku mbili leo Februari 25, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni alipowasili Ikulu  jijini Dar es salaam kuanza ziara rasmi ya kiserikali ya siku mbili leo Februari 25, 2017. PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment

Pages