HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

February 16, 2017

Tanzania itaendelea kuwa mwenyejji wa Programu ya Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika

 Mwenyekiti  wa Programu ya  Urithi wa Ukombozi   wa  Bara la Afrika  Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akitoa maelezo kuhusu Programu hiyo kwa wajumbe katika kikao kilichofanyika jana Jijini Dar es Salaam.Baadhi ya Wataalamu wa Program ya Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika wakiwasilisha mawazo yao katika kikao cha Programu hiyo kilichofanyika jana Jijini Dar es Salaam.Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo  Prof.Elisante Ole Gabriel akiwasilisha mchango wake kwa wajumbe  wakati wa kikao cha Programu ya Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika kilichofanyika jana Jijini Dar es Salaam.
 Mtaalamu wa Programu  ya Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika Dkt Daniel Ngagala akiwasilisha mada wakati wa  kikao na wajumbe wa Programu hiyo kilichofanyika jana Jijini Dar es Salaam.
 Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe.Dkt Hussein Mwinyi akichangia mjadala wakati wa kikao cha Programu ya Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika kilichofanyika jana Jijini Dar es Salaam.
 Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.William Lukuvi akiwasilisha mchango wake katika kikao cha Programu ya Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika kilichofanyika jana Jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Pages