Dande Contact

TEMBELEA BLOG HII KWA MATUKIO YA KILA SIKU-MOBILE +255 713 623 958 / +255 784 623 958 EMAIL dande15us@gmail.com

Halotel

CRDB

CRDB
.

Pages

KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YATEMBELEA TBIII

 Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania, Salim Msangi (kushoto), akizungumza na wakati Kamati ya Bunge ya Miundombinu ilipotembelea mradi wa Ujenzi wa Jengo la Tatu la Abiria katika Kiwanja cha Ndege cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo. (Picha na Francis Dande). 
Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (MAB), Mhandisi Prof. Ninatubu Lema akielezea masuala mbalimbali ya ujenzi wa jengo la tatu la abiria kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu ilipofanya ziara kwenye jengo hilo linaloendelea kujengwa na linatarajiwa kumalizika Desemba 2017.

 Baadhi ya wafanya kazi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania, wakiwa katika Mkutano wa baada ya Kamati ya Bunge Kutembelea Mradi huo.
Wajumbe wa Kamati wakiwa katika mkutano.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania, Salim Msangi (kushoto), akifafanua jambo kwa baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu walipotembelea mradi wa Ujenzi wa Jengo la Tatu la Abiria katika Kiwanja cha Ndege cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo.  

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania, Salim Msangi (kushoto), akifafanua jambo kwa baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu.
 Baadhi ya  wana Kamati  za Bunge wakikagua mradi huo.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania, Salim Msangi (kushoto), akiwaongoza baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu.

No comments:

Post a Comment