HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

March 23, 2017

LAPF YABORESHA HUDUMA ZA ULIPAJI MAFAO KWA WANACHAMA WAKE

 Meneja Mafao wa Mfuko wa Pesheni wa LAPF, Ramadhani Mkenyenge, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, kuhusu mafanikio ya mfuko huo. Kushoto ni Ofisa Masoko Mwandamizi wa LAPF, Rehema Mkamba na kulia ni Ofisa Matekelezo Mwandamizi wa LAPF, Kafiti Kafiti. (Picha na Francis Dande).

  Meneja Mafao wa Mfuko wa Pesheni wa LAPF, Ramadhani Mkenyenge, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, kuhusu mafanikio ya mfuko huo. Kushoto ni Ofisa Masoko Mwandamizi wa LAPF, Rehema Mkamba na kulia ni Ofisa Matekelezo Mwandamizi wa LAPF, Kafiti Kafiti.
Waandishi wa habari wakiwa kazini. 
  Meneja Mafao wa Mfuko wa Pesheni wa LAPF, Ramadhani Mkenyenge, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, kuhusu mafanikio ya mfuko huo. Kushoto ni Ofisa Masoko Mwandamizi wa LAPF, Rehema Mkamba.
 Meneja Mafao wa Mfuko wa Pesheni wa LAPF, Ramadhani Mkenyenge, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, kuhusu mafanikio ya mfuko huo. Kushoto ni Ofisa Masoko Mwandamizi wa LAPF, Rehema Mkamba.
Ofisa Matekelezo Mwandamizi wa LAPF, Kafiti Kafiti, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, kuhusu mafanikio ya mfuko huo.  Katikati ni Meneja Mafao wa LAPF, Ramadhani Mkenyenge na kushoto ni Ofisa Masoko Mwandamizi wa LAPF, Rehema Mkamba.
 Ofisa Masoko Mwandamizi wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, Rehema Mkamba, akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari.
 Waandishi wakiwa katika mkutano huo.
Ofisa Masoko Mwandamizi wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, Rehema Mkamba, akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari. 
 Meneja Mafao wa Mfuko wa Pesheni wa LAPF, Ramadhani Mkenyenge, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, kuhusu mafanikio ya mfuko huo. Kushoto ni Ofisa Masoko Mwandamizi wa LAPF, Rehema Mkamba na kulia ni Ofisa Matekelezo Mwandamizi wa LAPF, Kafiti Kafiti.
Meneja Mafao wa Mfuko wa Pesheni wa LAPF, Ramadhani Mkenyenge, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, kuhusu mafanikio ya mfuko huo. Kulia ni Ofisa Matekelezo Mwandamizi wa LAPF, Katiti Katiti. 

NA SALMA RASHID, MUM

MENEJA Mafao wa Mfuko wa Pesheni wa LAPF, Ramadhani Mkenyenge amewaonya waajiri wanaochelewesha majina ya wanachama wa mfuko huo wanaokaribia kustaafu kwani inasababisha kutowapa mafao yao kwa wakati.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Mkenyenge alisema kuna changamato zinazokabili mfuko huo wa pesheni wa LAPF  ni ucheleweshwaji wa majina ya wastaafu hivyo basi kupelekea waastaafu hao kutopata mafao yao kwa wakati muafaka ikiwa nia ya mfuko huo kuwalipa
wanachama wao mapema ili kuepusha usumbufu na ulipaji wa mafao ya urithi.

Alisema Mfuko huo wa LAPF kwa mwaka 2015/2016 imeweza kuwekeza katika sekta na idara mbalimbali kama serikalini, benki na ujenzi wa majengo (Msamvu bas terminal) na ukumbi wa bunge wa zamani.

“Kwa upande wa bidhaa  zilizopo sokoni LAPF  imekua na mtazamo wa kumjali mwanachama zaidi kwa kutoa huduma mbalimbali kama vile mkopo ya saccos kwa wanachama, mkopo kwa wastaafu, mkopo ya nyumba ,mkopo wa maisha popote, na mkopo wa elimu,” alisema meneja mkenyenge.

Alisema Meneja mkenyenge pamoja na changamoto hizo pia kuna mafanikio waliyoyapata  ikiwemo kuongeza ofisi zao za LAPF songea, Tabora, Tanga, Iringa na Kahama ,na kuwa kinara katika tasnia ya mfuko wa hifadhi ya jamii kwa ubunifu na mikakati yake ambayo inazingatia maslahi na matakwa halisi ya wanachama wake.

 Alisema  Mkenyenge baadhi ya mafao yanayotolewa na mfuko huo ni pamoja pesheni ya uzeeni, pesheni ya warithi, pesheni ya walemavu, mafao ya wazazi, msaada wa mazishi na mafao ya kujitoa, na kuongezea kwamba awajazuia fao la mtu kujitoa katika uanachama wa mfuko na inakupa kwanza ushauri kabla ya kujitoa katika mfuko wa pesheni ya LAPF.

“Pamoja na huduma hizo, Mfuko wa LAPF umeboresha huduma za ulipaji mafao kwa wanachama wake kwa kuwalipa kwa wakati kupitia akaunti zao za benki ya CRDB na NMB   akaunti hizo zimesaidia zimesaidia kuondoa usumbufu mkubwa hasa kwa wanachama wanaostaafu,” alisema meneja Mkenyenge.

Pia alitoa ushauri kwa wanachama wa LAPF kuandika urithi kabla ya kufa, waajiri kuwasilisha madai ya wanachama mapema kabla ya kustaafu , pia alitoa fura kwa wananchi kujiunga na LAPF  kabla ya kuzeeka na kwa manufaa yao ya maabae pindi wanapopata matatizo.

Mfuko wa pesheni wa LAPF umekuwa ukiwahudumia wanachama wake takribani zaidi ya miaka 70 sasa kwa uadilifu,ufanisi na ujuzi na umekua unatoa huduma bora nchini.

No comments:

Post a Comment

Pages