Dande Contact

TEMBELEA BLOG HII KWA MATUKIO YA KILA SIKU-MOBILE +255 713 623 958 / +255 784 623 958 EMAIL dande15us@gmail.com

Halotel


CRDB

CRDB
.

Pages

MAJALIWA AENDA NYUMBANI KWA MAREHEMU KAHAMA KUHANI MSIBA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifariji  Mama Jannet Kahama,  Mjane wa Marehemu, George Kahama wakati alipokwenda  kuhani msiba nyumbani kwa marehemu, Mikocheni jijini Dar es salaam, Machi 17, 2017. Wengine pichani ni wanafamilia. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifariji  Mama Jannet Kahama,  Mjane wa Marehemu, George Kahama wakati alipokwenda  kuhani msiba nyumbani kwa marehemu, Mikocheni jijini Dar es salaam, Machi 17, 2017. Wengine pichani ni wanafamilia.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana  na   Mama Jannet Kahama,  Mjane wa Marehemu, George Kahama wakati alipokwenda  kuhani msiba nyumbani kwa marehemu, Mikocheni jijini Dar es salaam.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na Joseph Kahama, mtoto wa marehemu George Kahama wakati  alipokwenda nyumbani kwa marehemu, Mikocheni jijini Dar es salaam  kutoa pole kwa familia.

No comments:

Post a Comment