Dande Contact

TEMBELEA BLOG HII KWA MATUKIO YA KILA SIKU-MOBILE +255 713 623 958 / +255 784 623 958 EMAIL dande15us@gmail.com

Halotel


CRDB

CRDB
.

Pages

MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR AKARIBISHA WAWEKEZAJI SEKTA YA NYUMBA


  Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akiwasha mshumaha mara baada ya kuwasili Makao Makuu ya Kampuni ya Ujenzi wa Nyumba za Mkopo katika Jimbo la Chennai Nchini India. Kushoto ya Balozi Seif ni Rais wa Jumuiya ya Makampuni ya Nichan Nchini India Bwana Manohar Nichani, Mjumbe wa Baraza la Mapinduzi Dr. Sira Ubwa Mambora, Kayibu Mkuu Wizara ya Kilimo Nd. Juma Ali na Kaimu Balozi wa Tanzania Nchini India Balozi Mohamed Hija. Kulia ya Balozi Seif ni Afisa wa Ubalozi wa Tanzania Nchini India Bibi Haika Msuya na  Mwakilishi wa Taasisi ya Kitaifa ya mpango wa kilimo kinachotumia mbolea za Asili India Bwana Satyajit Kittur Mjini Chennai.
 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif
Ali Iddi akiagana na Mwenyekiti wa Bodi ya Hospitali ya Kimataifa ya Miot Dr. Malika Mohandazaz kwenye Hotelli ya Crowne Plaza Mjini Chennai kabla ya kurejea Mjini New Delhi. 
Mke wa Makamu wa Pili wa Raios wa Zanzibar Mama
Asha Suleiman Iddi akibadilishana mawazo nammoja wa Viongozi Wandamizi wa Hospitali ya Miot Mjini Chennai kabla ya Kuelekea Mjini New Delhi. Picha na – OMPR – ZNZ.

No comments:

Post a Comment