Dande Contanct

TEMBELEA BLOG HII KWA MATUKIO YA KILA SIKU.

CRDB

CRDB
.

Pages

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA UFARANSA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameonana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Ufaransa nchini Mhe. Malika BERAK  ambaye aliongozana na Mshauri wa  Uchumi wa Ubalozi  wa Ufaransa  Bi. Beatrice Alperte, Ikulu jijini Dar es salaam.
 Balozi wa Ufaransa nchini Mhe. Malika BERAK (katikati) akimtambulisha Mshauri wa Masuala ya Uchumi wa Ubalozi huo Bi. Beatrice Alperte (kushoto) kwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan, Ikulu jijini Dar es Salaam. 
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Ufaransa nchini Mhe. Malika BERAK  aliyemtembelea ofisini kwake Ikulu jijini Dar es salaam.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Ufaransa nchini Mhe. Malika BERAK(katikati) pamoja na Mshauri wa  Uchumi wa Ubalozi  wa Ufaransa  Bi. Beatrice Alperte (kushoto), Ikulu jijini Dar es salaam. 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassanakiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi wa Ufaransa nchini Mhe. Malika BERAK (kushoto) na Mshauri wa  Uchumi wa Ubalozi  wa Ufaransa  Bi. Beatrice Alperte (kulia), Ikulu jijini Dar es salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment