Dande Contanct

KWA MAWASILIANO ZAIDI. E-mail: dande15us@gmail.com.

CRDB

CRDB
.

UTT

UTT
.

NSSF-SHIB

.

.

Pages

MAMIA WAMZIKA MAMA MDOGO WA RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE

Mufti wa Tanzania Sheikh Abubakari Zuberi, akiongoza sala ya maiti ya mama mdogo wa Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete mjini Bagamoyo. (Picha na Said Powa).
 Waziri Mkuu mstaafu, Kassim Mjaliwa akiteta jambo na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (aliyevaa kanzu ya njano), Rais Mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Kikwete (kushoto kwake), Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe (kulia kwake), wakiongoza msafara wa kwenda kumzika Mama mdogo wa Rais Jakaya Kikwete, Nuru Khalfan,  kwenye Makaburi ya Mwanakarenge mjini Bagamoyo. 

No comments:

Post a Comment