Dande Contact

TEMBELEA BLOG HII KWA MATUKIO YA KILA SIKU-MOBILE +255 713 623 958 / +255 784 623 958 EMAIL dande15us@gmail.com

Halotel


CRDB

CRDB
.

Pages

MBUNGE WA KILOMBERO PETER LIJUALIKALI ATOKA GEREZANI


Mbunge wa Kilombero, Peter Lijualikali (kulia), akiwa ameongozana na Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, Frederick Sumaye (kulia kwake),  wakati akitoka katika Gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam.

Mbunge wa Kilombero, Peter Lijualikali (wa pili kulia), akiwa ameongozana na viongozi wa Chadema baada ya kutoka katika Gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam alikokuwa anatumikia kifungo cha miezi sita. Wa tatu kulia ni Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, Frederick Sumaye.

No comments:

Post a Comment