HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

March 12, 2017

MKE WA RAIS MAMA JANETH MAGUFULI ASHIRIKI MISA YA NJIA YA MSALABA KATIKA KANISA KUU LA KATOLIKI LA MTAKATIFU PAULO WA MSALABA MJINI DODOMA

Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akijumuika na waumini wengine katika misa ya Njia ya Msalaba katika Kanisa Kuu la Katoliki la Mtakatifu Paulo wa Msalaba mjini Dodoma.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akijumuika na waumini wengine katika misa ya Njia ya Msalaba katika Kanisa Kuu la Katoliki la Mtakatifu Paulo wa Msalaba mjini Dodoma
 Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akitakiana amani na watawa wakati wa  misa ya Njia ya Msalaba katika Kanisa Kuu la Katoliki la Mtakatifu Paulo wa Msalaba mjini Dodoma.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akijumuika na waumini wengine kupokea Ekaristi  Takatifu wakati wa misa ya Njia ya Msalaba katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Paulo wa Msalaba mjini Dodoma.

Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akisalimiana na waumini baada ya misa ya Njia ya Msalaba katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Paulo wa Msalaba mjini Dodoma. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Pages