HABARI MSETO (HEADER)

Breaking

March 24, 2017

MKUTANO WA NAPE NA WAANDISHI WA HABARI KATIKA PICHA

Msaidizi wa aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye, akishuka katika gari baada ya kuwasili katika viwanja vya hoteli ya Protea Oysterbay ambapo mkutano na waandishi wa habari ulikuwa ufanyike katika hoteli hiyo kabla ya kupigwa stop na Polisi.
Msaidizi wa aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye, akizungumza na msaidizi wake.
Askari Kanzu akitoa bastola kumtishia Nape.

Mtangazaji wa kituo cha redio cha Efm, Maul;i Kitenge, akiwatuliza askari kanzu wasitumie nguvu kumzuia aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye asizungumze na waandishi wa habari.

Mtangazaji wa kituo cha redio cha Efm, Maulid Kitenge, akiwatuliza askari kanzu wasitumie nguvu kumzuia aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye asizungumze na waandishi wa habari.
Nape akizungumza na waandishi wa habari.

No comments:

Post a Comment

Pages