HABARI MSETO (HEADER)

Breaking

March 13, 2017

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA RAIS SHEIN IKULU YA CHAMWINO DODOMA

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein walipokutana kwa mazungumzo Ikulu ya Chamwino mjini Dodoma leo Jumatatu Machi 13, 2017.  Picha na IKULU.

No comments:

Post a Comment

Pages