HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

March 14, 2017

RAIS SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA BRAZIL

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na  Balozi wa Brazil katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Carlos Alfonso lglesias Puente   alipofika Ikulu Mjini Unguja leo. (Picha na Ikulu).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na  Balozi wa Brazil katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Carlos Alfonso lglesias Puente   alipofika Ikulu Mjini Unguja leo.

No comments:

Post a Comment

Pages