Dande Contact

TEMBELEA BLOG HII KWA MATUKIO YA KILA SIKU-MOBILE +255 713 623 958 / +255 784 623 958 EMAIL dande15us@gmail.com

Halotel


CRDB

CRDB
.

Pages

TUNDU LISSU AFIKISHWA MAHAKAMANI, APATA DHAMANA

 Mgombea wa nafasi ya Urais katika Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), ambaye pia ni Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu, akitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, baada ya kupata dhamana katika kesi ya kutoa maneno ya chuki za kidini.  (Picha na Francis Dande).


 Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu, akitoka Mahakamani.

  Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu, akitoka Mahakamani.
 Askari Polisi akimpa maelekezo Tundu Lissu, wakati akielekea kukamilisha taratibu za dhamana. 
 Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu, akipanda ngazi kukamilisha taratibu za dhamana. 
Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema (kushoto), akimsikiliza Ofisa wa Polisi katika Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam, Lema alifika mahakamani hapo baada kumpa sapoti Tundu Lissu. 
  Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu (katikati), akitoka Mahakamani huku akiwa ameongozana na Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema.
Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari nje ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam. Kulia kwake ni Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema. (Picha na Francis Dande).

No comments:

Post a Comment