HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

March 22, 2017

UBALOZI WA MAREKANI WATOA MAFUNZO KWA WAANDISHI WA HABARI ZA MITANDAO

USA01
Mkurugenzi wa Mtandao wa www.fullshangweblog.com Bw. John Bukuku akipokea cheti cha kuhitimu mafunzo ya uandishi wa habari (Multmedia Journalisim) kutoka kwa Mkufunzi Ricci Shriyock kutoka nchini Senegal mara baada ya kuhitimu mafunzo hayo yaliyoandaliwa , kufadhiliwa na Kufanyika kwenye Ubalozi wa Marekani jijini Dar es salaam nchini Tanzania washiriki wa mafunzo hayo ambao ni wanahabari wa Mitandao ya kijamii wamekabidhiwa wamekabidhiwa vyeti hivyo leo Ubalozini hapo. (PICHA KWA HISANI YA UBALOZI WA MAREKANI)
USA2
Mwanablog Shamim Mwasha wa 8020fashion akipokea cheti chake.
USA4
Mwanablog Freddy Njeje wa Blog za Mikoani akipokea cheti chake.
USA5
Mwanablog Josephat Lukaza wa Lukazablog akipokea cheti chake.
USA6
Mwanablog Vero kutoka mkoani Arusha akipokea cheti chake.
USA7
Katibu Msaidizi wa Chama cha Mabloga Tanzania Bloggers Network Krantz Mwantepele ambaye pia alikuwa mratibu wa mafunzo hayo akipokea cheti chake.
USA12
Miss Populler akipokea cheti chake mara baada ya mafunzo hayo.
USA8
Washiriki wa mafunzo hayo wakifuatilia mada zilizotolewa.
USA9
Maofisa wa Ubalozi wa Marekani pamoja na Mkufunzi huyo wakiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mafunzo hayo .
USA10
Mkufunzi wa Mafunzo hayo Ricci Shryock akifafanua jambo kwa washiriki wa mafunzo hayo.
USA11
Baadhi ya washiriki wakifurahia jambo kutoka kwa mkufunzo huyo wakati wa mafunzo hayo.

No comments:

Post a Comment

Pages