HABARI MSETO (HEADER)

Breaking

April 20, 2017

BUNGENI MJINI DODOMA

Mchungaji Dkt. Getrude Rwaktare akisindikizwa na baadhi ya wabunge kuingia kwenye ukumbi wa bunge mjini Dodoma ili kuapishwa kuwa mbunge wa   Viti Maalum,  Aprili 20, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisikiliza swali wakati alipoulizwa na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe,  (kulia) bungeni mjini Dodoma, Aprili 20, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Aprili 20, 2017. Wengine kutoka kushoto ni  Wabunge wa Viti Maalum, Cecilia Pareso, Catherene  Magige na Joyce Mukya. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Pages