Dande Contanct

TEMBELEA BLOG HII KWA MATUKIO YA KILA SIKU.

CRDB

CRDB
.

Pages

IBADA YA IJUMAA KUU

 Kijana aliyeigiza kama Yesu akizungumza na wafuasi wake wakati wa ibada ya Ijumaa Kuu iliyofanyika Katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Ushariki wa Azania Front Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande).
Kijana aliigiza kama Yesu akipelekwa kwa Pilato.  
Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa akiwa katika Ibada ya Ijumaa Kuu.
 Waumini wakiwa katika ibada ya Ijumaa Kuu katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Azania Front.

Muumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Azania Front, Moses Kombe, akiigiza mateso ya Yesu Kristo wakati wa ibada ya Ijumaa Kuu iliyofanyika jijini Dar es Salaam.

 Waumini.
 Askari wakimdhihaki Yesu kwa kuchana nguo yake.
 Wakigombea nguo yake.
Yesu akivuliwa viatu wakati wa mateso yake.
Mtoto Faraja Nelson akibusu msalaba wakati wa ibada ya Pasaka katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Joseph, Posta jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment