HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 03, 2017

MAJALIWA AKITETA NA SPIKA WA BUNGE NDUGAI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Spika wa Bunge Job Ndugai kabla ya kuanza kwa mkutano wa wabunge wa kupeana taarifa (briefing) kwenye ukumbi wa bunge mjini Dodoma  Aprili 3, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Spika wa Bunge Job Ndugai kabla ya kuanza kwa mkutano wa wabunge wa kupeana taarifa (briefing) kwenye ukumbi wa bunge mjini Dodoma  Aprili 3, 2017. Kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri  Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Pages