HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 14, 2017

MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA VIONGOZI WA CCM LEO


Rais  John Magufuli akiagana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake (UWT), Anna Mwakillagi, Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole baada ya kukutana nao Ikulu jijini Dar es Salaam jana. (Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

Pages