Dande Contanct

TEMBELEA BLOG HII KWA MATUKIO YA KILA SIKU.

CRDB

CRDB
.

Pages

AFRIKA KUSINI KUENDELEA KUFUNDISHA MARUBANI WA KITANZANIA

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi Dkt. Agustine Mahiga akizungumza wakati wa mkutano baina ya wawakilishi kutoka Tanzania na Afrika Kusini kuhusu majadiliano ya awali ya mikataba na makubaliano ya ushirikiano baina ya Tanzania na Afrika Kusini yanayotarajiwa kutiwa saini kesho wakati wa Ziara ya Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini anayetarajiwa kuwasili leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Afrika Kusini Bi. Maite Nkoana-Mashabane
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Afrika Kusini, Maite Nkoana-Mashabane akizungumza jijini Dar es Salaam jana, wakati wa mkutano baina ya wawakilishi kutoka Tanzania na Afrika Kusini kuhusu majadiliano ya awali ya mikataba na makubaliano ya ushirikiano baina ya Tanzania na Afrika Kusini yanayotarajiwa kutiwa saini Mei 11Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dk. Agustine Mahiga akiteta jambo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Afrika Kusini, Maite Nkoana-Mashabane wakati wa mkutano baina ya wawakilishi kutoka Tanzania na Afrika Kusini kuhusu majadiliano ya awali ya mikataba na makubaliano ya ushirikiano baina ya Tanzania na Afrika Kusini yanayotarajiwa kutiwa saini leo. Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Nchi na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dk. Aziz Mlima. Baadhi ya Mawaziri kutoka Serikali ya Jamhuri ya Afrika Kusini wakiwa katika kikao cha majadiliano ya awali kuhusu mikataba na makubaliano ya ushirikiano baina ya Tanzania na Afrika Kusini yanayotarajiwa kutiwa saini wakati wa Ziara ya Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini anayetarajiwa kuwasili leo Jijini Dar es Salaam.Baadhi ya Mawaziri kutoka Serikali za Tanzania na Afrika Kusini (mstari wa mbele) wakiwa katika kikao cha majadiliano ya awali kuhusu mikataba na makubaliano ya ushirikiano baina ya Tanzania na Afrika Kusini yanayotarajiwa kutiwa saini kesho wakati wa Ziara ya Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini anayetarajiwa kuwasili leo Jijini Dar es Salaam. Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Afrika Kusini Bi. Maite Nkoana - Mashabane akiwa katika picha ya pamoja na mwenyeji wake Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt. Agustine Mahiga (wapili kulia) wakati wa mkutano baina ya wawakilishi kutoka Tanzania na Afrika Kusini kuhusu majadiliano ya awali ya mikataba na makubaliano ya ushirikiano baina ya Tanzania na Afrika Kusini yanayotarajiwa kutiwa saini kesho wakati wa Ziara ya Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini anayetarajiwa kuwasili leo Jijini Dar es Salaam. Picha zote na: Frank Shija – MAELEZO.

No comments:

Post a Comment