Dande Contanct

TEMBELEA BLOG HII KWA MATUKIO YA KILA SIKU.

CRDB

CRDB
.

Pages

BENKI YA CRDB TAWI LA MBARALI YATOA MSAADA WA VIFAA VYA MICHEZO KWA MBARALI VETERANI

Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Mbarali, Chibby Chibby (katikati), akimkabidhi vifaa vya michezo Mwenyekiti wa Chama cha Soka Wilaya ya Mbarali, Issa Simba, kwa ajili ya timu ya Veterani ya Mbarali katika hafla iliyofanyika leo jijini Mbeya.
 Wachezaji wa timu ya Mbarali Veterani wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kukabidhiwa vifaa na Uongozi wa Benki ya CRDB tawi la Mbarali.
 Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Mbarali, Chibby Chibby,  akionyesha kadi nyekundu ikiwa ni sehemu ya vifaa alivyokabidhi leo.
Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Mbarali, Chibby Chibby (katikati), akimkabidhi vifaa vya michezo Mwenyekiti wa Chama cha Soka Wilaya ya Mbarali, Issa Simba, kwa ajili ya timu ya Veterani ya Mbarali katika hafla iliyofanyika leo jijini Mbeya.   
Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Mbarali, Chibby Chibby (katikati), akimkabidhi vifaa vya michezo Mwenyekiti wa Chama cha Soka Wilaya ya Mbarali, Issa Simba katika hafla iliyofanyika leo jijini Mbeya.

No comments:

Post a Comment