Dande Contact

TEMBELEA BLOG HII KWA MATUKIO YA KILA SIKU-MOBILE +255 713 623 958 / +255 784 623 958 EMAIL dande15us@gmail.com

Halotel


CRDB

CRDB
.

Pages

BENKI YA CRDB YATOA SEMINA KWA WANAHISA WAKE JIJINI ARUSHAMwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Ally Laay, akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei wakati wa semina kwa Wanahisa wa benki hiyo jijini Arusha. (Picha na Francis Dande).


Mkurugenzi wa Benki ya CRDB Tawi la Mbeya, Benson Mwakyusa akisalimia na Mkurugenzi wa Benki ya CRDB Tawi la Mtwara, Francis Kasoyaga, wakati wa semina ya Wanahisa jijini Arusha. 

Mkurugenzi wa Benki ya CRDB Tawi la Mbeya, Benson Mwakyusa akisalimia na Mkurugenzi wa Benki ya CRDB Tawi la Mlimani City, Allen Killango, wakati wa semina ya Wanahisa wa benki hiyo jijini Arusha.
Washiriki wa semina wakijiandikisha kabla ya kuanza kwa semina hiyo. 
Sekretarieti. 
Washiriki wakiingia ukumbini. 
Washiriki wakipewa makabrasha ya mkutano., 
Kupokea makabrasha. 
Kujisajili. 
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Ally Laay, akipata maelezo kabla ya kujisajili. 
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, akiingia katika ukumbi wa semina.
Naibu Mkurugenzi Mtendaji Huduma Shirikishi wa Benki ya CRDB, Esther Kitoka (katikati), akiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa benki hiyo, Ally Laay wakiingia ukumbini katika Mkutano Mkuu wa 22 wa Benki ya CRDB. 
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa benki hiyo, Ally Laay, akiteta jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei. 
Katibu wa Benki ya CRDB, John Rugambo akizungumza wakati wa semina ya Wanahisa wa Benki ya CRDB. 
Mwenyekiti wa semina ya Wanahisa wa Benki ya CRDB, Abeid Mwasajone akiongoza semina hiyo. 
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akizungumza katika semina hiyo. 
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akizungumza katika semina hiyo. 
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa benki hiyo, Ally Laay, akifungua rasmi semina ya Wanahisa wa Benki ya CRDB. 
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa benki hiyo, Ally Laay, akifungua rasmi semina ya Wanahisa wa Benki ya CRDB. 
Wanahisa wa Benki ya CRDB wakiwa katika semina 
Wanahisa wa Benki ya CRDB wakiwa katika semina 
Baadhi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB wakiwa katika semina ya wanahisa. 
Meneja wa Benki ya CRDB Tawi la Mbalali Mkoani Mbeya, Chiby Chiby (kulia) akiwa katika semina hiyo.
Mwakilishi wa balozi wa Denmark nchini akifuatilia semina hiyo.
Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa (kulia), akielekezana jambo na Mkurugenzi wa Fedha wa benki hiyo, Fredy Nshekanabo katika semina ya wanahisa wa benki hiyo kwenye Mkutano Mkuu wa 22. 
Dk. Blandina Kilama kutoka REPOA akichangia mada juu ya Fursa na Changamoto za Kuwekeza katika Hisa.
Meneja Mwandamizi Kitengo cha Wanahisa, CRDB Bank PLC, Emmanuel Ng'ui akitoa mada juu ya Taratibu za Kufahamu Kuhusu Uwekezaji Kwenye Hisa.

No comments:

Post a Comment