HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

May 20, 2017

BENKI YA CRDB YASHINDA TUZO MBILI ZA AFRIKA MASHARIKI

Timu ya Wafanyakazi wa Benki ya CRDB ikiongozwa na Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki hiyo, Tully Mwambapa (wa pili kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya waandaaji wa Tuzo za Benki Afrika Mashariki, wakati wa hafla ya kukabidhi tuzo hizo, iliyofanyika Jijini Nairobi, Kenya hivi karibuni. Benki ya CRDB imenyakua tuzo mbili ambayo ni ile ya Benki Bora Tanzania kwenye Huduma za Wateja Wadogo na Wakati na nyingine ni ile ya Kuwajali Wateja katika Huduma za Kijamii.
Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa akionyesha tuzo walizojishindia.

No comments:

Post a Comment

Pages