HABARI MSETO (HEADER)

Breaking

May 27, 2017

WAHARIRI WAPIGWA MSASA KUHUSU MFUKO WA PENSHENI WA LAPF

 Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, James Mlowe, akizungumza katika semina kwa wahariri wa vyombo vya habari jijini Dar es Salaam leo.
Katibu wa Jukwaa la Wahariri Neville Meena, akizungumza katika semina hiyo.
Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, James Mlowe, akifafanua jambo.
  Baadhi ya wahariri wakiwa katika semina hiyo.
  Baadhi ya wahariri wakiwa katika semina hiyo. 
 Meneja Mafao wa LAPF, Ramadhan Mkeyenge, akitoa mada katika semina hiyo.
Meneja Mafao wa LAPF, Ramadhan Mkeyenge, akitoa mada katika semina hiyo. 
 Ofisa Mwandamizi Mipango na Uwekezaji, Eliya Shola, akitoa mada katika semina hiyo.
 Baadhi ya wahariri wakifuatilia kwa makini semina hiyo.
Semina ikiendelea. 
 Ofisa Mwandamizi Mipango na Uwekezaji, Eliya Shola, akitoa mada katika semina hiyo. 
 Ofisa Mwandamizi Mipango na Uwekezaji, Eliya Shola, akitoa mada katika semina hiyo. 
 Abdalah Majura akiuliza swali.
Ofisa Masoko Mwandamizi wa Mfuko wa LAPF, Rehema Mkamba (kusho), akiwa na baadhi ya wahariri kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakiwa semian hiyo.
Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, James Mlowe, akijibu maswali ya washiriki wa semina hiyo. Kushoto ni  Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, Theophil Makunga.
Meneja Mafao wa LAPF, Ramadhan Mkeyenge, akijibu baadhi ya maswali.
Mhariri Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya New Habari (2006), Absalom Kibanda, akiuliza kuhusu namna Mfuko wa LAPF ulivyochukua taadhari katika uanzishwaji wa viwanda.

No comments:

Post a Comment

Pages