HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

May 22, 2017

MAKAMU MWENYEKITI WA CCM-BARA PHILIP MANGULA AKUTANA NA MKURUGENZI WA NDI KANDA YA MASHARIKI NA KUSINI MWA AFRIKA

Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara Phili Mangula akikmkaribisha Mkurugenzi wa Tasisi ya Kimarekani inayoshughulikia masuala ya Demokrasia Duniani (NDI), Kanda ya Mashariki na Kusini Mwa Afrika, Dk. Keith Jennings, kwa ajili ya mazungumzo, Ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo. Kushoto ni Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga. na katikati na Maofisa Waandamizi wa Taasisi hiyo.
Mkurugenzi wa Tasisi ya Kimarekani inayoshughulikia masuala ya Demokrasia Duniani (NDI), Kanda ya Mashariki na Kusini Mwa Afrika, Dk. Keith Jennings akisaini kitabu cha wageni
Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Philip Mangula akizungumza na Mkurugenzi wa Tasisi ya Kimarekani inayoshughulikia masuala ya Demokrasia Duniani (NDI), Kanda ya Mashariki na Kusini Mwa Afrika, Dk. Keith Jennings
Mkurugenzi wa Tasisi ya Kimarekani inayoshughulikia masuala ya Demokrasia Duniani (NDI), Kanda ya Mashariki na Kusini Mwa Afrika, Dk. Keith Jennings akimfafanulia jambo, Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Philip Mangula wakati wa mazungumzo hayo.
Mazungumzo yakiendelea. Picha na Bashir Nkoromo.

No comments:

Post a Comment

Pages