Dande Contanct

TEMBELEA BLOG HII KWA MATUKIO YA KILA SIKU.

CRDB

CRDB
.

Pages

MATUKIO YA WAZIRI MKUU BUNGENI MJINI DODOMA


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mbunge wa Songea Mjini, Leonidas Gama kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Spika wa Bunge, Job Ndugai kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mbunge wa Sengerema, William Ngereja kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma.
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Spika wa Bunge mstaafu, Anne Makinda.

No comments:

Post a Comment