Dande Contanct

TEMBELEA BLOG HII KWA MATUKIO YA KILA SIKU.

CRDB

CRDB
.

Pages

TUTAWAKUMBUKA DAIMA

 Msafara wa magari yaliyobeba miili ya wanafunzi wa Lucky Vincent, walimu wao na dereva yakipita barabara ya Middleton kuelekea Uwanja wa Sheikh Amri Abeid kwa ajili ya kuagwa. (Picha na Grace Macha)
 Msafara wa magari yaliyobeba miili ya wanafunzi wa Lucky Vincent, walimu wao na dereva yakipita barabara ya Middleton kuelekea Uwanja wa Sheikh Amri Abeid kwa ajili ya kuagwa. 
 Msafara wa magari yaliyobeba miili ya wanafunzi wa Lucky Vincent, walimu wao na dereva yakipita barabara ya Middleton kuelekea Uwanja wa Sheikh Amri Abeid kwa ajili ya kuagwa. 
 Viongozi wa dini wakiwa katika ibada maalum ya kuaga miili ya wanafunzi waliofariki katika ajali ya gari iliyotokea Mei 6 2017.
 Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe akiwa na Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema pamoja na Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema wakiwa katika ibada maalum ya kuaga miili ya wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Lucky Vicent ya jijini Arusha.
 Baadhi ya waombolezaji.
 Miili ikiwasili katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid.
 Miili ikiwasili katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid.
Miili ikiwasili katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid.
 Ndugu wakiwa na uchungu kwa kuondokewa na watoto wao.
 Ndugu wakilia kwa uchungu.
Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe akitoa salama za rambirambi katika ibada ya kuaga miili ya wanafunzi waliofariki katika ajali ya gari Mei 6.

No comments:

Post a Comment