Dande Contact

TEMBELEA BLOG HII KWA MATUKIO YA KILA SIKU-MOBILE +255 713 623 958 / +255 784 623 958 EMAIL dande15us@gmail.com

Halotel


CRDB

CRDB
.

Pages

MKUTANO MKUU WA WANAHISA WA BENKI YA CRDB 2017 JIJINI ARUSHA

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Ally Laay akitoa taarifa ya mwenendo wa benki kwa kipindi cha mwaka 2016 katika Mkutano Mkuu wa 22 wa Wanahisa wa Benki hiyo ulioendelea jijini Arusha.
Wanahisa wa Benki ya CRDB wakiwa katika mkutano huo.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Ally Laay akitoa taarifa ya mwenendo wa benki kwa mwaka 2016 katika Mkutano Mkuu wa 22 wa Wanahisa wa Benki hiyo ulioendelea jijini Arusha.
Mkurugenzi wa Huduma Mbadala wa Benki ya CRDB, Philip Alfred (kulia), akiwa na Menja wa Benki ya CRDB Tawi la Ussa River, Jeniffer Tondi wakifuatilia mkutano huo. 
 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akitoa maelezo katika Mkutano Mkuu wa 22 wa Wanahisa wa Benki ya CRDB uliofanyika jijini Ausha leo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akitoa maelezo katika Mkutano Mkuu wa 22 wa Wanahisa wa Benki ya CRDB uliofanyika jijini Ausha leo. 
 Wanahisa wakifuatilia mkutano huo. 
 Mwenyekiti wa Mkutano Mkuu wa 22 wa Wanahisa wa Benki ya CRDB, Abeid Mwasajoni (kushoto), akiteta jambo na Katibu wa Benki ya CRDB, John Rugambo.
 Wanahisa wakiwa katika mkutano huo.
 Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa, akifurahia jambo wakati wa Mkutano Mkuu wa 22 wa Wanahisa wa Benki ya CRDB.
  Wanahisa wakiwa katika mkutano huo.
 Wanahisa wakiwa katika mkutano huo. 
 Mwanahisa akiuliza swali katika mkutano huo.
 Wanahisa.
  Wanahisa.
 Mwanahisa akipitia taarifa za Mkutano Mkuu wa 22.
Wanahisa wakiwa mkutanoni.  
 Wanahisa.
 Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugezi ya Benki ya CRDB, Ally Laay akijibu maswali ya wanahisa.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugezi ya Benki ya CRDB, Ally Laay akijibu maswali ya wanahisa.  
 Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugezi ya Benki ya CRDB, Ally Laay akijibu maswali ya wanahisa. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei. 
Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye, ambaye ni mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya CRDB akiwa katika mkutano huo.
Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye, akiwaaga wanahisa wa Benki ya CRDB baada ya kujiuzuri nafasi ya Ujumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB kutokana na majukumu mengi yanayomkabili. 
Wanahisa wakipiga kura za kumchagua mjumbe mmoja wa bodi.
 Kura zikiendelea kupigwa.
Naibu Mkurugenzi Mtendaji Huduma Shirikishi wa Benki ya CRDB, Esther Kitoka.

No comments:

Post a Comment