Dande Contact

TEMBELEA BLOG HII KWA MATUKIO YA KILA SIKU-MOBILE +255 713 623 958 / +255 784 623 958 EMAIL dande15us@gmail.com

Halotel


CRDB

CRDB
.

Pages

MKUTANO WA KWANZA WA CHAMA CHA WANAWAKE WAJASIRIAMALI NCHINI(VOWET)WAFANYIKA CHINI YA VODACOM TANZANIA FOUNDATION

Rais wa Chama  cha Wanawake Wajasiriamali Tanzania (VOWET) Maida Waziri (katikati) akimfafanulia jambo Meneja Ruzuku na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Foundation, Sandra Osward (kulia) wakati  wa mkutano  wa kwanza kufanyika toka kuanzishwa kwa umoja wa wanawake wajasiriamali mwaka 2015. Mkutano huo ulikuwa na lengo la kujadili na kupeana taarifa za maendeleo ya chama hicho uliofanyika jijini Dar es salaa mwishoni mwa wiki kwa kudhaminiwa na Vodacom Tanzania Foundation. Kushoto ni Mratibu wa  VOWET, Anna  Otieno. (Na Mpiga Picha Wetu).
Rais wa Chama  cha Wanawake Wajasiriamali Tanzania (VOWET) Maida Waziri ( katikati) akisalimiana na  Meneja wa Ruzuku na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Foundation, Sandra Osward( kulia)walipokutana kwenye mkutano  wa kwanza kufanyika wa umoja wa wanawake wajasiriamali nchini,Mkutano huo uliudhaminiwa na Vodacom Tanzania Foundation ulifanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es salaam ulikuwa na lengo la kujadili na kupeana taarifa za maendeleo ya chama hicho

No comments:

Post a Comment