Dande Contact

TEMBELEA BLOG HII KWA MATUKIO YA KILA SIKU-MOBILE +255 713 623 958 / +255 784 623 958 EMAIL dande15us@gmail.com

Halotel


CRDB

CRDB
.

Pages

MWASISI WA CHADEMA AFARIKI DUNIA

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Kilimanjaro, Philemon Ndesamburo akiwa katika moja ya mikutano ya chama hicho enzi wza uhai wake.
Mbunge wa viti maalum (Chadema), Lucy Owenya, akilia kwa uchungu baada ya kupata taarifa za msiba wa baba yake mzazi, ambaye alikuwa mmoja wa waasisi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), marehemu Philemon Ndesamburo, aliyefariki ghafla ofisini kwake mjini Moshi leo. (Na Mpiga Picha Wetu).

No comments:

Post a Comment