Dande Contanct

TEMBELEA BLOG HII KWA MATUKIO YA KILA SIKU.

CRDB

CRDB
.

Pages

MWENYEKITI KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA UTALII AONGOZA SEMINA YA WABUNGE WOTE LEO MJINI DODOMA.

Mbunge wa Viti Maalum, Mheshimiwa Amina Mollel akizungumza jambo wakati wa semina ya Wabunge wote iliyoandaliwa na Wizara ya Maliasili na Utalii inayohusu umuhimu wa uhifadhi wa Maliasili Malikale na Maendeleo ya Utalii nchini Tanzania, iliyofanyika leo Ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma. (PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii, Mheshimiwa Mhandisi Atashasta Ndetiye akiongoza semina ya Wabunge wote inayohusu umuhimu wa uhifadhi wa Maliasili Malikale na Maendeleo ya Utalii nchini Tanzania, iliyofanyika leo Ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma. kushoto kwake ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Prof. Jumanne Maghembe.

No comments:

Post a Comment