Dande Contanct

TEMBELEA BLOG HII KWA MATUKIO YA KILA SIKU.

CRDB

CRDB
.

Pages

NAIBU SPIKA WA BUNGE ATEMBELEA BANDA LA TAASISI YA UHANDISI NA USANIFU MITAMBO TANZANIA

Naibu Spika wa Bunge, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson (wa pili kushoto) akimsikiliza Afisa kutoka Taasisi ya Uhandisi na Usanifu Mitambo Tanzania (TEMDO) akizungumza jambo wakati wa Maonyesho ya baadhi ya Mitambo yao, katika tukio lililofanyika leo katika Viwanja vya Bunge Mjini Dodoma. wa pili kulia, ni Waziri wa Viwanda, Biashara  na Uwekezaji, Mheshimiwa Charles Mwijage.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE) 

No comments:

Post a Comment