Dande Contact

TEMBELEA BLOG HII KWA MATUKIO YA KILA SIKU-MOBILE +255 713 623 958 / +255 784 623 958 EMAIL dande15us@gmail.com

h

h

CRDB

CRDB
.

Pages

NSSF YASHIRIKI MAONYESHO YA BIASHARA YA TANGA TRADE FAIR

Ofisa Matekelezo wa NSSF Mkoa wa Tanga, Athuman Rajabu (kushoto), akimwandikisha mwanachama mpya wa Hiari wa mfuko huo, Moses Francis, baada ya kupata elimu juu ya mafao yatolewayo na NSSF wakati wa Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa (Tanga Trade Fair) yaliyofanyika katika viwanja vya Mwahako jijini Tanga, mwishoni mwa wiki. (Na Mpiga Picha Wetu).  
 Ofisa Matekelezo Mwandamizi wa NSSF Mkoa wa Tanga, Abuu Mshangama (kulia), akimkabidhi  fulana ya NSSF, Hamis Chika, mmoja wa watu waliotembelea banda la NSSF kwenye Maonyesho ya Biashara-Tanga Trade Fair yaliyofanyika katika viwanja vya Mwahako jijini Tanga, mwishoni mwa wiki. 
Ofisa Matekelezo Mwandamizi wa NSSF Mkoa wa Tanga, Abuu Mshangama (kulia), akimkabidhi  fulana ya NSSF, Hamis Chika, mmoja wa watu waliotembelea banda la NSSF kwenye Maonyesho ya Biashara-Tanga Trade Fair yaliyofanyika katika viwanja vya Mwahako jijini Tanga.
 Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage, akipata maelezo alipotembelea banda la NSSF.
Ofisa Masoko na Uhusiano wa NSSF, Anna Nguzo akitoa elimu juu ya mafao yanayotolewa na NSSF kwa wananchi waliofika katika maonyesho ya Biashara ya Tanga Trade Fair.

No comments:

Post a Comment